Pasaka ni sikukuu muhimu zaidi katika kalenda ya Kikristo, na huadhimishwa na maelfu ya watu duniani kote. Inaashiria Yesu kufufuka kutoka kwa wafu, baada ya kufa msalabani. Siku hizi, watu wengi ...
Katika kijiji cha Luhohwe kilichopo jimbo la Bungoma magharibi mwa Kenya anapatikana mwanaume anayejulikana kama 'Yesu' wa Tongareni. Maisha yake yalikuwa ni ya kawaida hadi ilipofika mwaka 2009 ...