Katika makala haya msikilizaji utasikia mengi kuhusu sanaa ya filamu na vichekesho kutoka kwa wasanii wa Timamu African Media ya Dar es Salaam Tanzania kama Ebitoke, Bwana Mjeshi na Mr. Beneficial , ...