DAR ES SALAAM:MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Barnabas Elias, amesema kuwa watu ndio kitu cha msingi zaidi katika dunia ya sasa, akisisitiza umuhimu wa kuishi kwa upendo na amani na kila mtu. DAR ES ...
KWA miaka mingi, muziki wa Hip Hop na Reggae, umekuwa ukitumika katika harakati za ukombozi wa mtu mweusi na ndio maana ...
KWA wakati fulani, Watayarishaji wa Muziki (Producers) hutia vionjo vya sauti zao kwenye baadhi ya nyimbo ili kuleta ladha itakayotoa burudani ya uhakika kwa wapenzi wa muziki. Hata ...
TUZO za Tanzania Music Awards (TMA) zimetangazwa rasmi kufanyika Desemba 13, 2025, huku dirisha la maombi kwa wasanii ...
Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania ambaye ni miongoni mwa wasanii waliofanikiwa pakubwa katika eneo la Afrika mashariki Rajab Abdul Kahali maarufu Harmonize ametoa ujumbe. Amewataka ...
Makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili inakuletea mahojiano na Rogat Hega Katapila ambaye ni mmoja wa viongozi wa bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo yenye maskani yake jijini Dar es salaam nchini ...
Matatu mashuhuri, au teksi za basi dogo, za mji mkuu wa Kenya, mara nyingi hupitia msongamano wa magari kwa mipigo ya sauti ya muziki wa Afrobeat wa Nigeria, Bongo Flava ya Tanzania au Amapiano ya ...
Ni mzungu, Mdeni, na anapokuwa jukwaani, huzungukwa na Watanzania wanachama wa bendi yake, lakini baada ya nyimbo chache katika maonyesho ya moja kwa moja ya mzungu kichaa, tayari ushasahau rangi ya ...
David Nkya au Dav D Mtayarishaji wa muziki wa Tanzania anawakilisha vyema taifa lake nchini Kenya katika miondoko ya muziki wa kizazi kipya Bongo Flava. Zaidi ungana na Sudi Mnette katika kipindi cha ...
Kikundi cha Hip-Hop cha akina dada wa kitanzania kilivyowezeshwa kujikita kwenye Soko la muziki Tanzania. Mapitio ya mafanyikio yatokanayo na mchango kutoka kwa Mfuko wa kuendeleza sanaa cha Ujerumani ...
Tarehe 11 April mwaka huu wa Tanzania, wamefanya kumbukumbu ya kifo cha hayati Steven Charles Kanumba, msanii wa tasnia ya Filamu, lakini pia alikuwa na kipaji cha Muziki na ambacho kiligundulika ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results