Kocha wa Ujerumani Julian Nagelsmann amesema hataruhusu mjadala wowote kuhusu kosa jingine lililofanywa na mlinda lango namba moja Manuel Neuer, katika mechi ya kirafiki na Ugiriki, kabla ya michuano ...